Sugar Revitalization – CS Munya

#SugarRevitalization “Lengo letu ni kuhakikisha mkulima wa miwa, anapata pesa! Sasa kama atakuwa akilima, anatumia nguvu zake, anatumia pesa zake, miwa ikija inaporwa na wengine! Directive ya President ni tusafishe kilimo. Tusafishe Miwa, wakulima wapate Faida! Kenya haitabadilika ikiwa kilimo haitabadilika.” ~ Waziri Munya.   For more Information Contact Us Hotline: 0800724891